Search This Blog

Sunday, October 14, 2012

Nelly marujuana scandal....

Nelly akiwa kwenye matembezi huko Sierra Blanca, Texas Marekani, alisimaishwa na polisi na gari lake lililokuwa na watu 7 ndani ikiwa ni pamoja na yeye lilipokaguliwa kulikutwa na madawa ya kulevya (bangi na heroine) pia kulikuwa na bunduki iliyojazwa risasi. Nelly alikataa kuwa vitu hivyo havikuwz vyake. Hata hivyo mmoja kati ya watu wliokuwa ndani ya gari hilo alikiri kuviweka vitu hivyo ndani ya gari.... Sehemu hiyohiyo ndipo Snoop Dog alipokutwa na madawa ya kulevya hivii jizi kati.....

1 comment: