DOWNLOAD SUSANA BY Nkem Owoh
Ni nyimbo nzuri yani si kawaida inahusu msichana ,(SUSANA) aliyempenda mwanamme kwa ajili ya fedha zake na zawadi, na alimwacha jamaa baada ya kuishiwa MONEY. Muimbaji wa hii nyimbo ni mwigizaji namchekeshaji wa Nigeria. Jina lake ni Nkem Owoh lakini a.k.a yake Ni "Usoufia". Sikwambii reason yake kuuweka huu wimbo kwenye hii blog lakini ukiuangalia utaelewa kwa nini nimeuweka.
JINSI YA KU-DAWNLOAD
NORMAL QUALITY
Bofya >>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE =2.5mb
FORMAT = 3gp
HIGH QUALITY
Bofya>>>>>>>>>>>>>>>>> HAPA
VIDEO SIZE = 5.2mb
FORMAT = 3gp
No comments:
Post a Comment