Search This Blog

Tuesday, January 8, 2013

SHINDA VOCHA SH:500

Wewe a.ka.a yako ni nani...........?? najua ipo na unaifahamu na pengine watu wa pembeni yako huwa wanakuita. Mimi ya kwangu ni NELLYNHO. Kwa bahati mbaya watu wengine wana a.k.a ambazo hawazijui.....yani watu huwa wanaitumia bila yeye kufahamu.......(hasa maticha wa sekondari)

Ila mimi shida yangu co hiyo nnachotaka ni unipe maana na kirefu cha a.k.a na utajishindia zawadi papo hapo. Na zawadi hiyo ni muda wa maongezi Sh500.(TIGO)

MTU WA KWANZA ATAKAYECOMMENT JIBU SAHIHI NITAMTUMIA KWENYE ACCOUNT YAKE YA FB NAMBA ZA VOCHA.

AHSANTENI KWA KUSHIRIKI

1 comment: