Search This Blog

Friday, January 11, 2013

VAMPIRE DIARIES >>> THE ORIGINALS

VAMPIRE DIARIES INABADIKIKA

Televisheni ya CW networt ambayo ndiyo inayotoa series za VAMPIRE DIARIES inaelezwa kuwa itaibadilisha series hiyo ya VAMPIRE DIARIES katika episode mpya watakayoitoa tarehe 25 mwezi 4 ambayo itakuwa na wahusika wapya pamoja na story. Episode hiyo mpya inayokwenda kwa jina la THE ORIGINALS inaweza kuwa ni mwanzo wa series mpya nyingine.

Joseph Morgan (Klaus) na Phoebe Tonkin (Hayley) ndiyo watakuwa ma-star wa hiyo mambo mpya.
Tarehe 25 Mwezi wa 4 kitu hiyo mpya ndo itadondoka hewani..............wapenzi wa VAMPIRE DIARIES mnaionaje hii inshu???????

Kama una swali au maoni usiwaze wala usiwe na wasi kututonya......unaweza kubofya hapo chini palipoandikwa Post a comment na kuacha mawazo yako hapo au ukanicheki FACEBOOK kwa kubofya HAPA na huko unaweza kuacha maoni yako kwa kuandika kwenye WALL yangu au kuni-inbox...........itakuwa safi sana...

brought to you by Nellynho&Ellynho company
Copyright c 2013 Nellynho! co.
Allrights reserved

No comments:

Post a Comment