Search This Blog

Saturday, October 13, 2012

Picha na video za siri za justine bieber.....

Hivi juzi kati msanii Justine Bieber aliibiwa laptop yake pamoja na camera. Baadaye mtu mmoja alijitokeza kwenye mtandao wa Twitter (ww.twitter.com) na kudai kwamba yeye ndiye mwenye laptop na amefanikiwa kuifungua na zaidi ya yote ameelezao za siri za Justine pamoja na Helena Gomez....hii ni kali kuendelea kufahamu juu ya tukio hilo endelea kutembelea blog hii na utahabarishwa soon.......

By ñěļļÿñĥō

No comments:

Post a Comment