Nokia asha 311 imeingia sokoni. Simu hii imeteka soko la smartphones kwa uwezo wake mkubwa. Hizi ni Kati ya sifa zake za pekee:
=ina wi-fi (wireless)
=touch screen imara iliyolindwa na Gorillz glass
=battery yake inakaa masaa 700 ikiwa standby
=inakaa masaa 14 ukiwaunaongea kwenye simu (bila kikomo)
=masaa 40 ukiwa unaplay miziki
=memory ya ndani ni 120MB
=RAM 128MB
=ROM 256MB
=unaweza kuweka memory card hadi ya 32GB
=camera ni 3.15MP(mega pixels)
BEI YA HII SIMU NI 325000TSh/= au dolla200
ReplyDelete