Search This Blog

Saturday, October 13, 2012

Ki-top cha Nicki chaanika nyonyo nje...

Nicki Minaj alikuwa akiimba wimbo wake wa Moment 4 Life pale nyonyo lake lilipotoka (kidogo) kutoka kwenye ka-op alichokuwa amevaa.Show yake ilifanyika Central Park huko amrekani. Mashabiki walivyoona tukio hilo walianza kushangilia. Habari nzuri ni kwamba nyonyo za Nick Minaj zilikuwa 'attractive' hata kabla nguo yake kumuacha wazi tukio hilo liliongeza sukari tu kwenye keki....Nicki Minaj ni msanii mwenye kipaji sana jambo hili la kufunuka kwa nyonyo mbele za watu ni kumeongeza umaarufu wake kwa kiasi fulan. Even though she'll probably have to issue some sort of apology.

No comments:

Post a Comment