JAMANI KUFANYIANA SUPRIZE SI JAMBO ZURI SAAAANA
Jamaa mmoja alitoka kazini mkewe akampokea na kumwambia kwamba amemwandalia 'suprize'. Mkewe akamfunga kitambaa cheusi machoni afu akamwongoza hadi ndani walipofika sebuleni mkewe akamwambia hebu nisubiri nakuja sa hivi mkewe akaingia chumbani. Jamaa kusikia mlango wa chumbani umefungwa akaachia ushuzi uliokuwa umembana muda mrefu sana... Akaachia tena mwingine kwa nguvu alafu akaenda akafungua dirisha kwa kupapasa-papasa afu akajipepea makalio yake...Ghafla akasikia mkewe anakuja akarudi haraka alipokuwa amesimama then akajikausha.....Mkewe alipofika akamwambia jamaa afungue macho jamaa alipoangalia pale sebuleni alikuta wakwe zake wanamshangaa wakiwa pamoja na wanafamilia na marafiki wengine wengi...UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE

No comments:
Post a Comment