ROMA - 2030
"ona kipindi cha bungeni dodoma inanuka ngono ,
spika akiairisha bunge wengi watausapoti mgomo ,
wabunge mnadai posho mhonge dada zetu ,
kuna wanafunzi wa mama salma chuoni usicheze peku ................... ,
Wanzanzibari hawaioni thamani ya huu muungano ,
Ili kuchoma kanisa sio njia ya kuvunja agano
Sioni sababu ya ubaguzi na kuua wasio na hatia,
wakati aliyechanganya mchanga mchanga mchanga ushamfukia.... .
........RPC usitume kikosi kuwashusha Chadema,
Damu ya mwangosi italipwa Iringa semeni amina.........
Kuipata hii ngoma bofya hapa>>>> DOWNLOAD
Somerights reserved
No comments:
Post a Comment