JUSTIN TIMBERLAKE ft JAY Z - SUIT & TIE
Msanii Justin Timberlake aliyepotea kwenye game ya music kawa miaka sita sasa amerudi kwa staili yake ya tofauti. Justin ametoa wimbo wake unaotoka kwa jina la "SUIT&TIE" na amesema anaandaa "album" itakayotoka mwaka huu. Wimbo huo amemshirikisha Jay Z na producer ni Timberland ................
Unaweza kuisikiliza hii track HAPA
Kama una swali au maoni usiwaze wala usiwe na wasi kututonya......unaweza kubofya hapo chini palipoandikwa Post a comment na kuacha mawazo yako hapo au ukanicheki FACEBOOK kwa kubofya HAPA na huko unaweza kuacha maoni yako kwa kuandika kwenye WALL yangu au kuni-inbox...........itakuwa safi sana...
Somerights reserved
No comments:
Post a Comment